
Sasa nije kwako mdau wangu. Vipi endapo suala hili lingekuhusu kwa namna moja au nyingine? Tuchukulie mfano wewe kama mzazi wa mtoto wa aina hii.......... Bac kama sio mzazi tufanye mlezi wa karibu au hata ndugu, Ikishindikana jaribu kijiweka nafasi hiyo wewe. Suala hili unalitazama kwa jicho lipi. Na hatua zipi madhubuti ungependa zichukuliwe (kama unadhani kuna lililo nje ya maadili).
Kwa pamoja tuijenge Tanzania yetu ya kesho!
No comments:
Post a Comment